Je HESLB wanatoa mikopo kwa ajili ya masters?

kamikaze

Senior Member
Joined
May 12, 2025
Posts
146
Reaction score
155
Habari wadau Naomba kufahamu kama kuna anayejua iwapo bodi ya mikopo wanatoa Pia na wanaofanya masters.
 
Masters mzee wew c mtu mzma kabsa
By the wayMasters hmn mkopo
Hahaha Hapana nimemaliza bachelor natamani kuendelea. Ila hali ya uchumi home hairuhusu mkuu
 
Iyo hela ya kufanya masters kafanye hata shughuli ya kilimo utapoteza hela yako bure na mda unaenda kwann usiende veta mapema sn ili utengeneze maisha yako mapema
 
Iyo hela ya kufanya masters kafanye hata shughuli ya kilimo utapoteza hela yako bure na mda unaenda kwann usiende veta mapema sn ili utengeneze maisha yako mapema
Asante kwa ushauri mzuri mkuu
 
Huu Uzi umejaa vilaza inaonekana elimu Tanzania sio kipaumbele zaidi ya Ajira au kutafuta Hela, hii nchi itakukua Maskini hvhv hata tukifufuka mwaka 2100
 
Habari wadau Naomba kufahamu kama kuna anayejua iwapo bodi ya mikopo wanatoa Pia na wanaofanya masters.
Hawatoagi mzee masters ni gharama sana mtafilisi taifa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…