Je Higher Diploma ni sawa na Adv Diploma?

CHIMPONGO

Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
43
Reaction score
3
Wana bodi habari zenu? tafadhari naombeni mwenye uelewe na mfumo wa NACTE au TCU anijuze yafuatayo.
1. Higher Diploma ni sifa ya kielimu sawa na Adv Diploma.?
2. Kama ni sawa au sio sawa je mwenye sifa ya Higher Diploma aweza kusoma Postgraduate Diploma kwa mfumo wa elimu yetu hapa Tz?
3. Kuna rafiki yangu alidisko semister ya mwisho chuo cha Mipango Dodoma na wakasema watampa cheti cha Higher Diploma, msaada wenu wa kimawazo tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…