Je, hii hufanywa na walioanza kutumia simu tu au hata wazoefu?

Sammy1961

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2019
Posts
300
Reaction score
309
Kama nilivyoandika juu kwenye title wana jamvi.

Najua wengi tumepita kwenye hii kuchart kwenye simu mnaitana chumbani Mara unasema uko mlangoni njoo fungua milolongo mingi.

Je, hii namna inatumiwa na vijana walioanza kutumia simu au ata wale manguli wa simu wanaitumia hii?

Toa maoni yako mwana jamvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…