Wajameni ninakabanda kangu Bongo je kuna uwezekano wa kuweka Water gutters ili nisinunue hata maji ya vyoo. Inaweza ikanighalimu sh ngapi pamoja na
ufundi.La pili je? Sola kwa taa ,Tv,na Friji je inaweza kuwa madafu mangapi.?
kwenye swala la gutters inawezekana sana. unanunua gutter na pipe zake pia unajenga kisima cha kuhifadhi hayo maji. sina uhakika wa bei ila gutter 1 ya urefu wa 6meter ni around sh 85,000/= bei ya mwaka jana nabaki afrika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.