Je, hii kitu ni kweli kwamba...

Je, hii kitu ni kweli kwamba...

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wanaume walio namachogo wana akili sana darasani na hata ktk maisha ya kila siku lakini ktk suala la mahaba nibure na wakati huo huo wanaume wasio na chogo huwa hawana akili za darasani na hata za kimaisha lakini ni wazuri sana na mno ktk ufanyaji wa tendo la ndoa a.k.a kungonoka na kwamba wanaongoza pia kuwa na wivu wa kimalavidavi.

Karibuni mtiririke kwa mnavyojua ila binafsi kichwa changu naona kuna sehemu chogo naliona kwa mbali lakini upande mwingine naona nina kichwa bapa hivyo sijui nipo ktk kundi gani hapo.
 
Kwahiyo shule ulikuwa unaandika hivyo hivyo au
 
Wanaume Walio Na MACHOGO Wana AKILI Sana Darasani Na Hata Ktk Maisha Ya Kila Siku Lakini Ktk Suala La MAHABA Ni Bure Na Wakati Huo Huo Wanaume Wasio Na CHOGO Huwa Hawana AKILI Za Darasani Na Hata Za Kimaisha Lakini Ni WAZURI Sana Na Mno Ktk UFANYAJI Wa Tendo La Ndoa a.k.a KUNGONOKA Na Kwamba Wanaongoza Pia Kuwa Na Wivu Wa Kimalavidavi.

Karibuni Mtiririke Kwa Mnavyojua ILA Binafsi Kichwa Changu Naona Kuna Sehemu CHOGO Naliona Kwa Mbali Lakini Upande Mwingine Naona Nina Kichwa BAPA Hivyo Sijui Nipo Ktk Kundi Gani Hapo.
Ni dhairi wewe utakuwa huna chogo na ulikuwa kilaza..,
 
katika wanaume 10 wangapi machongo...???????
a
 
Back
Top Bottom