Wanaume Walio Na MACHOGO Wana AKILI Sana Darasani Na Hata Ktk Maisha Ya Kila Siku Lakini Ktk Suala La MAHABA Ni Bure Na Wakati Huo Huo Wanaume Wasio Na CHOGO Huwa Hawana AKILI Za Darasani Na Hata Za Kimaisha Lakini Ni WAZURI Sana Na Mno Ktk UFANYAJI Wa Tendo La Ndoa a.k.a KUNGONOKA Na Kwamba Wanaongoza Pia Kuwa Na Wivu Wa Kimalavidavi.
Karibuni Mtiririke Kwa Mnavyojua ILA Binafsi Kichwa Changu Naona Kuna Sehemu CHOGO Naliona Kwa Mbali Lakini Upande Mwingine Naona Nina Kichwa BAPA Hivyo Sijui Nipo Ktk Kundi Gani Hapo.