Kwa sisi tunaofutilia siasa za dunia kwa maslahi mapana ya nchi yetu, macho yetu yanaangalia kwa umakini kampeni za urais zinazoendelea Marekani.
Siasa ina mambo mengi. Kuna michezo michafu pia hutendeka.
Vyama viwili vya Democrats na Republicans wanachuana vikali kwenye mbio za kusaka urais. Ingawaje Trump ni mtu machachari kwenye siasa na mwenye lugha nyepesi na yenye ushawishi; anakabiliana na Kamala Harris kwenye uchuano mkali sana.
Majaribio ya kuuawa kwa Trump je ni njia moja wapo ya kusaka kura za huruma kutoka kwa wamerekani au ni kweli kuna watu wanania ya kumuua?
Kwa vyovyote vile Trump lazima aishi.
Pia soma: Risasi zarindima katika eneo la karibu alipokuwepo Donald Trump, Maafisa usalama wanasema yupo salama