Je, hii 'Leadership Style' / 'Management Style' ya Rais Dk. Magufuli 'ikihamia' katika Ofisi nyingi hakutakuwa na 'Ufanisi' mkubwa?

Je, hii 'Leadership Style' / 'Management Style' ya Rais Dk. Magufuli 'ikihamia' katika Ofisi nyingi hakutakuwa na 'Ufanisi' mkubwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Kutoonyesha anampenda sana fulani
2. Kutopenda Makundi baina ya wale aliowateua
3. Kutopenda Kutabirika na Wanaomzunguka
4. Kutopenda Kusomeka kwa haraka na Wateule wake
5. Kufuatilia Nyendo za Wateule wake ili kama ni mbaya anawaonda upesi
6. Kumchana Mtu waziwazi hata kama ni Rafiki yako / Mshirika wako
7. Kutokuwa Mnafiki, Mwoga na Msengenyi pale Mhusika asipokuwepo eneo husika
 
Back
Top Bottom