je hii nayo ni malaria

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,360
Reaction score
6,069
wana Jamii na wataalamu wa magonjwa na dawa, naomba kuuliza, ni kwamba nimewahi kwenda hospitalini nikaambiwa nina malaria 1 siku nyingine 2 na kuna siku 3, hii imewahi nitokea kwa nyakati tofauti. ila nakumbuka hali yangu ilikuwa mbaya ilipofika malaria 3. lakini kuna kitu nataka kujua je kuna malaria inapanda hadi inafika 500, je hii pia inaonekana kwenye slide, na huyu mtu akawa hai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…