Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,158
Huru maana yake kutoingiliwa au kupangiwa na yoyoteNini maana ya uhuru kwanza, tunaweza kupata maana sahihi ya tume huru.
Tume ni huru, na ndio maana kuna transparent ya kutisha, wale Makamishina kwanza waliteuliwa Dakika za mwisho na pia kuangusha Familia tatu ni kazi ngumu sana.Hili nimeliona yes kuwa ni tatizo kubwa.
Najiuliza kuna nini cha kujifunza Kenya?
State Heist?
Sikulifahamu hili, kumbe yule makamu mwenyekiti na wajumbe waliojitenga ni zao la uteuzi wa Kenyatta!Wale makamishina waliteuliwa ndio utaratibu ulivyo ila Mwenyejiti huwa anatafutwa inatanganzwa nafasi ya kazi.
Kwa mjibu wa sheria za uchaguzi kenya mwenye mamlaka ya kutangaza mshindi ni mwenyekiti, na kafanya hivyo.
Hivi sisi Wabongo tusha ingia kwenye portal ya tume ya Kenya tukajumlisha matokeo?
Hahaaa yaani ile transparent yao imeleta kiwewe kwa Big Familly wakina Uhuru Kenyata
Mipango ya Kenyata ilikuwa ni baadae arudi tena madarakani baada ya miaka 5 sasa inaonekana mpango wake umekufa rasimi