Je, hii ndiyo Sababu ya wanamuziki wakubwa wa Tanzania kuwa na Walinzi Binafsi?

Je, hii ndiyo Sababu ya wanamuziki wakubwa wa Tanzania kuwa na Walinzi Binafsi?

politics

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
211
Reaction score
155
Hakika ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni! Wahenga walinena! Na Mimi pia narejerea usemi usemao "Usiache Mbachao kwa Msala Upitao" Ama kwa hakika alichokifanya mwendesha shughuli Adam Mchomvu pale Uwanja wa Uhuru kwa kumramba teke watoto wa mjini wanasema"Mtama" mwanamuziki Mbasha siku ya tarehe 15 Agosti, 2020 kimeniaminisha leo hii ni kwa nini akina Konde Boi, Diamond na wengine wengi huwa na Walinzi Binafsi yaani "Bodyguards".

Mchomvu kaapa tena atakapo kutana nae chemba atamfanyizia kwa mara nyingine, je, Mbasha na yeye aanze kutafuta Walinzi Binafsi?

Hongera akina Konde Boi na wenzako mliogundua kuwa na bodyguards popote! Akina Adam Mchomvu wapo wengi mitaani achilia mbali stejini.
 
Walisema JPM 2020 haitaji kufanya kampeni. Wakasema 2020 hawatatumia wasaniii kulikoni Tena??? Nini kimewasibu CCM??

Nimefrai wamegundua mapema kwamba Hawakubaliki.
 
Hakika ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni! Wahenga walinena! Na Mimi pia narejerea usemi usemao "Usiache Mbachao kwa Msala Upitao" Ama kwa hakika alichokifanya mwendesha shughuli Adam Mchomvu pale Uwanja wa Uhuru kwa kumramba teke watoto wa mjini wanasema"Mtama" mwanamuziki Mbasha siku ya tarehe 15 Agosti, 2020 kimeniaminisha leo hii ni kwa nini akina Konde Boi, Diamond na wengine wengi huwa na Walinzi Binafsi yaani "Bodyguards".
Mchomvu kaapa tena atakapo kutana nae chemba atamfanyizia kwa mara nyingine, je, Mbasha na yeye aanze kutafuta Walinzi Binafsi? Hongera akina Konde Boi na wenzako mliogundua kuwa na bodyguards popote! Akina Adam Mchomvu wapo wengi mitaani achilia mbali stejini.
Peleka chit chat huko, huku kwenye siasa inatuhusu namna gani???

cc Moderator
 
Tena mtama wa Kihuni kwa Kweli.
 
Attachments

  • VID-20200815-WA0041.mp4
    4.1 MB
Back
Top Bottom