Wakati serikali ikiandaa kamati maalum ya kushughulikia gonjwa la Covid 19, naomba kuuliza hivi hii Covid 19 iliyopo India kwa sasa ndio hiyo ya awamu ya Nne au bado hii ya awamu ya tatu?
Maana India Jamani hali ni mbaya sana sana mpaka umoja wa mataifa umetoa tamko rasmi la kuingalia India kwa jicho la umoja, mbaya zaidi inapiga mpaka watoto, vijana ambao huku Tanzania tunawaita watoto ni carrier, sasa huko India hakuna cha Carrier wala mzee inapiga popote ulipo, maiti zimejaa mtaani mpaka basi. Hatari jamani