Tuendelee kuchukua tahadhari. Mlinzi wa afya yako ni wewe mwenyewe. "Don't be careless!!"Wakati serikali ikiandaa kamati maalum ya kushughulikia gonjwa la Covid 19 , naomba kuuliza hivi hii Covid 19 iliyopo India kwa sasa ndio hiyo ya awamu ya Nne au bado ihii ya awamu ya tatu? mana India Jamani hali ni mbaya sana sana mpaka umoja wa mataifa umetoa tamko rasmi la kuingalia India kwa jicho la umoja , mbaya zaidi inapiga mpaka watoto , vijana ambao huku Tanzania tunawaita watoto ni carrier , sasa huko India hakuna cha Carrier wala mzee inapiga popote ulipo... maiti zimejaa mtaani mpaka basi..... hatari jamani
Na tabia ya kuchoma maiti mpaka wameishiwa kuni saivi wameomba kibali waanze kukata kutoka kwenye bustani za mjini "City parks"
Tunza maneno mkuu. Acha mambo ya vijiweniHAO jamaa kuna biashara wanafanya.wanawatoa watu viungo alafu wanasema wamekufa na Corona.
kuna watu humu JF wanafanya mzaa kwa jambo la makini ... yanii hopeless wapo wengi sana humu jamii forumTunza maneno mkuu. Acha mambo ya vijiweni
Tunza maneno mkuu. Acha mambo ya vijiweni
kuna
kuna watu humu JF wanafanya mzaa kwa jambo la makini ... yanii hopeless wapo wengi sana humu jamii forum
Na India ilivyokuwa nchi ya viungo (spices) ambavyo mtu mmoja aliyepigwa hivi majuzi alidai ndio dawa ya corona sijui itakuwaje ikiingia hapa ile supu ya vitunguu itafaa kweli?Wakati serikali ikiandaa kamati maalum ya kushughulikia gonjwa la Covid 19 , naomba kuuliza hivi hii Covid 19 iliyopo India kwa sasa ndio hiyo ya awamu ya Nne au bado hii ya awamu ya tatu? Maana India Jamani hali ni mbaya sana sana mpaka umoja wa mataifa umetoa tamko rasmi la kuingalia India kwa jicho la umoja, mbaya zaidi inapiga mpaka watoto, vijana ambao huku Tanzania tunawaita watoto ni carrier, sasa huko India hakuna cha Carrier wala mzee inapiga popote ulipo... maiti zimejaa mtaani mpaka basi..... hatari jamani
Akili hizi ni za mataga tuHAO jamaa kuna biashara wanafanya.wanawatoa watu viungo alafu wanasema wamekufa na Corona.
Akili hizi ni za mataga tu
Aisee nimeona hiyo Video nikabaki nashangaa tuHAO jamaa kuna biashara wanafanya.wanawatoa watu viungo alafu wanasema wamekufa na Corona.