Je, hii ni Fair Mohammed Hussein anakula zake 'Bata' Dubai akina Mayele na Morisson tunapishana nao Vibanda vya 'Mishikaki' Kariakoo Dar es Salaam

Mtoa post unawaza kama Bata. Nisamehe tu. Nashindwa nikusaidiaje. Kwako wewe dalili ya mtu kufanikiwa ni kwenda dubai? Fikicha akiki.
 
Mchezaji wa Simba SC Mohammed Hussein Tshabalala hakika anajua sana 'Kuwakoga' Wachezaji wa Yanga SC akina Mayele na Morisson.

Yaani Mwenzao yuko Mapumzikoni nchini Dubai ( UAE )
Mohammed Hussein Tshabalala anahujumu "Visit Tanzania" na anahujumu "Royal Tour" ya Mama yetu Samia. Hii haikubaliki, Hata kidogo!

Morrison na Mayele wanafanya jambo kubwa kwa Tanzania. Wanaitetea Visit Tanzania na Royal Tour yetu. Wapongezwe kwa nguvu zote.
===
Mleta mada amemchoma Tshabalala, hili nalo halikubaliki!
 
Kumbuka hata manara alienda kula Bata huko huko alikoenda mchezaji wako pendwa

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Kama hilo ni kweli,

Basi aibu nineona Mimi huku.
 
Siyo fair zaidi wa wachezaji wenzake wa Simba ambao wamebaki humohumo wanamoonekana hao wa Yanga.
 
Sasa Yanga huko ndo wanabakuana hadi wakaamua kuvujisha [emoji329],kisa kugombania bwana, mchezaji na kiongozi.
 
Tudondoshee mkasa kamili mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…