Je hii ni haki kwa mlinzi kulipwa sh elfu 60?

karandarugo

Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
39
Reaction score
7
hv hii ni haki kwa mlinzi anayefanya kaz ya ulinz kwa masaa 12 kulipwa sh elfu 60 kwa mwezi? mwnye kujua sheria juu ya hili naomba atufahamishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…