Dr Kantangaze
Senior Member
- Jul 3, 2014
- 125
- 80
Serikali mpaka sasa imesha tangaza ajira za walimu kwa awamu tatu lakini kuna walimu walio ajiriwa awamu ya kwanza mpaka sasa awajapata mishahara yao.
Mfano wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro kuna walimu mpaka sasa mwezi wa 3 ss awajapata mishahara yao na wanapo kwenda ofisa utumishi wanapewa majibu rahisi tu ( vyeti vyako avija onekana vizuli makao makuu utumishi, barua yako ya ajira aikuambatanishwa, tarehe ya ajira yako ilikosewa, majina yako yalikosewa. nk).
Sasa jamani wana jf kama kuna muhusika mwenye utaalam ebu atufahamishe mfanyakazi kukosa mshahara sababu inakua ni ipi, pili majibu ya uyu afisa ni yamsingi kweli, tatu awa walimu wafanye nini maana majibu ni yale yale na kuwahakikishia watapa mishahara lakini ikifika tarehe akuna kitu kwa miezi 3 sasa.