Je, Hii ni kweli? Naomba kujuzwa

Je, Hii ni kweli? Naomba kujuzwa

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
1,066
Reaction score
294
Nimepata ujumbe huu kwenye simu yangu. Je hawa wapo kweli?

Nukuu:

RED EDGE SACCOS LTD inatoa mikopo ya Ada, Pango la nyumba bila ya dhamana. Pia Bajaj, Pikipiki, Solar power, Fedha na kadhalika. Riba 18% kwa mwaka.

Contacts : 0659557889

 
hao bila shaka ni matapeli...
 
utaambiwa utangulize ada asilimia kadhaa ya mkopo then kimyaaaa. Kuwa na akili!
 
Umeshindwa nini kuwasiliana nao uwasikie kwanza kwa mawasiliano Yao waliotoa, au unataka kufanyiwa utafiti na mwingine wewe ukiwa huumizi akili yako. Utaanza kukatishwa tamaa na watu wasio na hakika na taarifa zao. Kama unahitaji huduma zao kweli, watafute ukitilia mashaka maelezo Yao,achana nao.
 
Back
Top Bottom