Umeshindwa nini kuwasiliana nao uwasikie kwanza kwa mawasiliano Yao waliotoa, au unataka kufanyiwa utafiti na mwingine wewe ukiwa huumizi akili yako. Utaanza kukatishwa tamaa na watu wasio na hakika na taarifa zao. Kama unahitaji huduma zao kweli, watafute ukitilia mashaka maelezo Yao,achana nao.