baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,580
- 1,773
Msaada
Ndotoni [emoji116]
Maeneo ya huku ninapokaa kuna makaburi nayafahamu upande wa kushoto ya Kiislam na upande wa kulia ya Kikristo katikati ninjia watu tunapita pkpk na magari pia.
Sasa wakati napita njia naelekea mishe zangu ghafla upande wa kushoto makaburi ya Kiislamu nikaona kaburi ambalo ni jipya kabisa juu yake kuna paka amekaa.
Sasa nilivyokuwa natembea yule paka akawa ananiangalia amenikazia macho mimi. Ghafla nilipokuwa naenda nikaghairi nikageuza nikawa naludi nilipotoka, sasa yule paka akawa ananiangalia macho yake yakaanza kuwaka mwanga mkali mpaka nikawa naumia macho, yani mwanga mkali sana.
Naomba mwenye kuielewa hii ndoto.
Asanten