Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi watu wanaoana ili wafanyane tu? Hee! Mbona wengine tutashindwa kama ni hivyo
Nimeona 'uchumba' ukiyumba au kuvunjika pale mmoja wao akitaka ngono iwe baada ya ndoa. Upande huo unajigamba kwa kusema 'anaringia' nini......
ndo mana hawaoi na wakioa lazma wawe na spea tairAngel - katika stori za vijiweni, inaonekana vijana wengi hapa DSM ni wateja wazuri wa 'madada poa'
Ushindwe marangapi tena, au ile shem ilikuwa yautani??
ile ya kiukweli ukweli ila mme hataki kila siku. Lol
Hivi watu wanaoana ili wafanyane tu? Hee! Mbona wengine tutashindwa kama ni hivyo
Heeeh kwaheri shemeji...
Mwajuma acha uongo wako wewe. Unapenda ile kitu kupitiliza...