Je hii ni sababu ya viajana wengi kutooa au kuolewa au ndoa kuyumba?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Je urahisi wa kufanya tendo la ndoa ni sababu inayowafanya vijana wengi kuendelea kuishi maisha ya 'kiseja' au ndoa nyingi kuyumba.
 
Hivi watu wanaoana ili wafanyane tu? Hee! Mbona wengine tutashindwa kama ni hivyo
 
Reactions: Sal
Yeah nadhani ni sababu pia..kuna mdau mmoja alisema "if you can get milk anytime you want, why keeping a cow
 
Nimeona 'uchumba' ukiyumba au kuvunjika pale mmoja wao akitaka ngono iwe baada ya ndoa. Upande huo unajigamba kwa kusema 'anaringia' nini......
 
na yote hiyo inatokana na utovu wa nidhamu na mmomonyoko wa maadili
 
Angel - katika stori za vijiweni, inaonekana vijana wengi hapa DSM ni wateja wazuri wa 'madada poa'
 
habahah yeah bana urahiai wa kupatikana kwa k unafanya vijana tusijiingize kwenye ndoa
 
WaliNazi - namaanisha, urahisi wa kufanya tendo la ndoa visivyo halali; kwa mfano ukahaba, uasherati, uzinzi n.k kunafanya vijana kukataa kuoa au kulewa
 
Nimeona 'uchumba' ukiyumba au kuvunjika pale mmoja wao akitaka ngono iwe baada ya ndoa. Upande huo unajigamba kwa kusema 'anaringia' nini......

Binafsi nitavumilia kwa sharti kuwa mke mtarajiwa awe bikra kwa maana hajawahi kukutana na jinsia ya kiume maishani mwake cause kama sio bikra kwa nini kujamiiana iwe baada ya kufunga ndoa!
 
Kwa hiyo: Vijana wanasingizia ugumu wa maisha, wakimaanisha urahisi wa ngono, ndio sababu hawoi au hawaolewi, na ikitokea, nyumba inayumbishwa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…