kuoa au kuolewa ni uamuzi wa mtu hasa mtu akitambua umri wa ndoa umefika na kwa nini anaoa au kuolewa tendo la ndo ni sehemu inayokamilisha zoezi zima la ndoa. ndo maana waliofikia umri wa kuoa au kuolema na hawajafanya hivyo kuna kitu ambacho huwa wanakikosa ndo maana wengine wanang'Ang'Ania kuoa kuolewa kwa nguvu
ndoa si beta version, ni maisha. bila ndoa hujakamilika. ndoa ni Identity. amini usiamini ukitambulika kupitia mtu mwingine inafurahisha mno. tendo la ndo mbona hiyo nyongeza tu. hivyo vitu vipo kibao tu tena kwa bei ya kutupa so sidhani tendo la ndoa ndo has linamfanya mtu kuoa