Haha!Sijui kwa Kiafrika kwa sasa,Ila sasa China ndo kawaida kabisa,Na Binti asiposhikwa mkono na Boyfriend wake njiani yaweza kuwa ugonvi...na mabusu wala hakuna shida watu wala hata hawaangalii maana ni kawaida.Na wachina pia miaka kadhaa iliyopita hii kitu haikuwepo na vyuoni ilikuwa ni sheria kutobusiana hadharani,labda ndiyo Dunia yetu inabadilika ndugu yangu.Sasa sijui mabadiliko haya kama ni mazuri au mabaya!!!