Je hii ni sawa kwa GOLDEN BOOT WINNER?

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
613
Reaction score
791
Umegundua Nini hapo!? Mm nmegundua Kuna utofauti mkubwa Sana kati ya kiatu Cha dhahabu na kiatu Cha mtumba.

Maoni yangu tu lakini.....
 
Unapotosha. Hicho cha Samatta sio Golden boot, Bali kinaitwa "Black Ebony Shoe" ni tuzo anayopewa mchezaji aliyefanya vizuri mwenye asili ya Africa (Bila kujali rangi) anayechezea katika Ligi ya "Belgian Jupiler League Pro".....Kuhusu Kiatu cha dhahabu bado hakijatolewa kwani Ligi yao bado haijaisha na huyo Samatta ana nafasi kubwa kukichukuwa!!
 

Umemaliza uzi ufungwe.
 
.....Kuhusu Kiatu cha dhahabu bado hakijatolewa kwani Ligi yao bado haijaisha na huyo Samatta ana nafasi kubwa kukichukuwa!!

Ligi ya Samatta ni ndondo tu wala sio miongoni mwa candidates wa ‘Golden Boot’.
 
Thread closed.
 
Full Story tuangalie nyuzi zingine huu umeisha
 
Hv mane na Salah wamechukua hii tuzo mcimu huu?
 
Safi sana you hv nailed it...thread closed.
 
nuff said...........
 
Uzi umefungwa kwakomenti yako Mkuu
 
Hicho cha samata sio golden boot hiyo ni tuzo ya mchezaji bora mweusi...acha kupotosha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…