menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
wanawake wengi wamekuwa wakiwaachia waume zao au ma bf wao kazi ya kuosha vyombo baada ya mechi na wengine kwa kisingizio cha kuchoka husahau hata kuosha vyombo huamua kuvilia vikiwa vichafu je hii ni sawa? Michango yenu wanajamvini tafadhali!!
Zingatia mila za kiafrika dada.Osha...kwani aliyetumia nani?
Zingatia mila za kiafrika dada.
siyo kwlZipi hizo?Basi na nguo tusivae maana ni mila ya kizungu!
siyo kwl
Kama siku ya kwanza ulianza kwa kuosha, inabidi uendelee......... Lkn tuulize baada ya gwaride ni nani huwa chokest zaidi ya mwenzie?