4X4byfar
JF-Expert Member
- Oct 29, 2008
- 201
- 21
Ndugu wapendwa mimi ndio mara yangu ya kwanza kuwa hapa. Nina jambo naombeni msaada.
Nimeolewa hivi karibuni, baada ya kumjoin my husband aliamua kunitambulisha kwa wanawake aliyodai ambao baadhi ni marafiki tuu wa kawaida na wengine ni wafanyakazi wenzake.
Ok nilikubali na kuwaona wote. Ila sasa nimekaa muda wengine wakawa wanampigia simu mara kwa mara wakiwa anaongea nao; kukopa kadi ya basi, majani ya chai, kubadilishana mboga, kuwapa more concentration when out in a party, kuwapa lifti mpaka nyumbani kwao nk.
Kweli hili jambo likawa likinikera sana, ikafika siku tuligombana sana na kumwambia achane na hayo mawasiliano na hao wanawake au niachane naye. Sasa yeye badala ya kukubali alibakia kubisha sana na kuniambia hana uhusiano nao wowote.
Je, nilifanya kosa kumwambia hivyo, na je, mtu anapooa si ndio kuachana na ukapera jamani?