BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Ina maana wanaume hawawezi kukaa na shemeji zao wa kike, lazima wawamendee...!?
freindHivi kwani pneumonia ndo ikabidi ahamishe makao ndo suluhisho kweli? ilikuwa advise ya daktari? na je, mwaka mmoja bado tu anaogopa kuwa atapata pneumonia au walishindwa kumpa matibabu stahiki? isije ikawa kuna tatizo jingine kwenye hiyo familia?