Ulamaa Hemed
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 159
- 16
Kwakawaida mwanzo wa Mwaka tunalipia hela ya hostel ya Mwaka mzima, lkn cha ajabu ukirudi semester ya pili hawakupi funguo wala godoro mpk ulipe Ada unayodaiwa.vp wananinyima chumba wakati nimeshakilipia Mwaka mzima?