Je, hii ramani imekamilika?

Kwa viwanja vyetu hivi vidogo hapo gari inakaa vizuri unapotaka kuweka. baraza
 
Sitting room ya 4x5 inatosha sana
 
Siqwz kujenga nyumba halafu Master ikae nyuma hata siku moja.
Naona kama Comfortability inapungua.
Master napendelea ikae jiran na Sebule baada ya Dining kuwe na master Ten yenye Dirisha mbili siyo moja

Mytake: Sababj za kiusalama
 
Usalama gani!?,unaishi Iraq,hata kama master ikiwa nje watu wakikutaka hawakukosi
 
bedroom house,
Boma na kuezela on average ni 222-227 M,
Finishing ya kuingia ndani mi 133, finishing ya ukweli kabisa ni 355M,
In total uwe na 500M ili nyumba iwe classic, Ila kama ni kuhamia Tu then finishing nyingine umalize ukiwa ndani basi Anza na 355M au milion 1 kama unataka low quality house
 
Siqwz kujenga nyumba halafu Master ikae nyuma hata siku moja.
Naona kama Comfortability inapungua.
Master napendelea ikae jiran na Sebule baada ya Dining kuwe na master Ten yenye Dirisha mbili siyo moja

Mytake: Sababj za kiusalama
Ndugu kila mtu ana sababu zake, kwako unaonelea hivyo, mwingine anasema kelele za sitting room, pia kama mkeo ni wa kupiga kelele kila anaepita mitaa hiyo anasikia
 
Gharama hizo unajenga baharini ama wapi oysterbay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…