Je, hii simu niliyoinunua Amazon inaweza kusoma line za huku?

Joined
Jul 19, 2018
Posts
35
Reaction score
48
Jamani habari ndugu?

Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma laini za huku?

Pole sana mkuu, saaatel nadhan na zantel zamani ndio walikuwa wanatoa huduma ya CDMA, kwa sasa sina hakika labda ukajaribu tccl.

Wabongo tukiona pesa na bei ndogo tunachanganyikiwa.

Ndio maana siku hizi atm zinatoa kadi kabla ya fedha maana zamani ilikuwa inatangulia pesa kabla ya kadi, watu wakiona pesa wanabeba wanasahau kadi.
 
Ndio maana siku hizi atm zinatoa kadi kabla ya fedha maana zamani ilikuwa inatangulia pesa kabla ya kadi, watu wakiona pesa wanabeba wanasahau kadi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana siku hizi atm zinatoa kadi kabla ya fedha maana zamani ilikuwa inatangulia pesa kabla ya kadi, watu wakiona pesa wanabeba wanasahau kadi.

Duuuhh, kumbe mimi bado mdogo hivi.

Sikuwa najua hili, Ahsante kwa kunijuza mkuu
 
Jamani habari ndugu?

Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma laini za huku?

View attachment 2106849
Lipia kutoa lock itafanya kazi kwenye lte (4G), kwenye 3G (cdma) ndio inaweza isifanye kazi ikiwa ni hardlock, otherwise low end kama hizi hata 3g ya kwetu (GSM) inaweza fanya kazi.
 
Lipia kutoa lock itafanya kazi kwenye lte (4G), kwenye 3G (cdma) ndio inaweza isifanye kazi ikiwa ni hardlock, otherwise low end kama hizi hata 3g ya kwetu (GSM) inaweza fanya kazi.
Watu gani wanaoweza kutoa hizi chief?
 
lol [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu gani wanaoweza kutoa hizi chief?
Mtandao wa simu husika huko Marekani, kuna sheria huko simu lazima kuwa unlocked, ila unaweza hitajika kulipia zaidi ama kusubiria kwa muda fulani.

Alternative ni hizi box za mafundi simu zipo zinazotoa lock.

Alternative nyengine ni remote unlock, fundi ambaye hayupo Tanzania anakusaidia kutoa lock.
 
Hahahaha. Umetish we raia
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna rafiki yangu mmoja anayo ina shida ya namna hiyo, huwa mpaka tumwashie hotspot
 
Kuna simu kama hizo zinakuwa na frequency band za kule usa ambapo huku kwetu hazishiki kabisa hata ufanye unlock kwa mafundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…