Pre GE2025 Je, hii Tsh. Milioni 5 ya CCM ni hofu ya 2025 kushindwa na Lissu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ANT - NYONDENYONDE

Senior Member
Joined
Jul 29, 2024
Posts
154
Reaction score
173
Tsh. Milioni 5.3 sio pesa ndogo, hiki ni kielelezo cha mapenzi makubwa kwa Lissu walionayo chama Cha Mapinduzi.

Je 2025 akiwashinda watampisha kiti?

Au CCM wamenusa harufu ya kushindwa na Lissu wameanza kutengeneza Urafiki bandika kwake?

IMG-20240816-WA0062.jpg

Pia soma: Lissu na CHADEMA wasikubali kejeli, dhihaka na dharau za kuchangiwa na CCM
 
Hakuna,mbona Samia anamuhudumia huyu jamaa....siasa na utu ni vitu viwili tofauti....
 
Huu us**a wanaoufanya ccm tutachelewa sana maendeleo mpka tunakufa
 
Nguvu ya Chadema imeongezeka kwa kasi kubwa...hapo Mbeya tulibipu sisiemu wakaogopa kufunikwa kwa nyayo za yule ikabidi kutumia Njagu....huko Dunianiani watesi wananyukwa barabara ...sasa we cheza MDUNDIKO TU ...mmewapiga Chadema..mmewakejeli mkumbuke Dunia imesha mwona Sugu!!
 
Chadema inanguvu wapi?au Jf?
 
M5.3 sio pesa ndogo, hiki ni kielelezo cha mapenzi makubwa kwa Lissu walionayo chama Cha Mapinduzi,

Je 2025 akiwashinda watampisha kiti?.

Au CCM wamenusa harufu ya kushindwa na Lissu wameanza kutengeneza Urafiki bandika kwake?
View attachment 3071499
Labda ni ushauri wa Mbowe kumlainisha lissu

Mbowe alichangiwa 150 m na samia za ujenzi wa kanisa, hii michango imeleta sintofahami

Ukiunganisha na tuhuma za rushwa basi wenye akili tunahisi hiyo ni kama rushwa ili lissu angalau alegeze misimamo ili mama apete 2025

Lissu akikomaa 2025 mama anaweza kurudi kizimkazi patupu
Akaitema bandari na ngorongoro
 
M5.3 sio pesa ndogo, hiki ni kielelezo cha mapenzi makubwa kwa Lissu walionayo chama Cha Mapinduzi,

Je 2025 akiwashinda watampisha kiti?.

Au CCM wamenusa harufu ya kushindwa na Lissu wameanza kutengeneza Urafiki bandika kwake?
View attachment 3071499
actually,
hiyo pesa kidogo ni kutoka kwa wanaCCM Mwanza tu,

imekusudiwa anunuliwe gari jipya kubwa la kisasa na CCM taifa yenye thamani isiyopungua milioni mia6...

kwani kuna ubaya wowote ile pesa alichangiwa akaitumia kwaajili ya mambo mengine binafsi na ya kifamilia?🐒
 
CCM ndio chama Cha siasa pekee.
 
Back
Top Bottom