ANT - NYONDENYONDE
Senior Member
- Jul 29, 2024
- 154
- 173
SawaHakuna,mbona Samia anamuhudumia huyu jamaa....siasa na utu ni vitu viwili tofauti....
Chadema inanguvu wapi?au Jf?Nguvu ya Chadema imeongezeka kwa kasi kubwa...hapo Mbeya tulibipu sisiemu wakaogopa kufunikwa kwa nyayo za yule ikabidi kutumia Njagu....huko Dunianiani watesi wananyukwa barabara ...sasa we cheza MDUNDIKO TU ...mmewapiga Chadema..mmewakejeli mkumbuke Dunia imesha mwona Sugu!!
We bado creche huwezi kuona endelea kukatika hapo mwambie mpiga mgoma aongeze MDUNDOChadema inanguvu wapi?au Jf?
Labda ni ushauri wa Mbowe kumlainisha lissuM5.3 sio pesa ndogo, hiki ni kielelezo cha mapenzi makubwa kwa Lissu walionayo chama Cha Mapinduzi,
Je 2025 akiwashinda watampisha kiti?.
Au CCM wamenusa harufu ya kushindwa na Lissu wameanza kutengeneza Urafiki bandika kwake?
View attachment 3071499
actually,M5.3 sio pesa ndogo, hiki ni kielelezo cha mapenzi makubwa kwa Lissu walionayo chama Cha Mapinduzi,
Je 2025 akiwashinda watampisha kiti?.
Au CCM wamenusa harufu ya kushindwa na Lissu wameanza kutengeneza Urafiki bandika kwake?
View attachment 3071499
CCM ndio chama Cha siasa pekee.actually,
hiyo pesa kidogo ni kutoka kwa wanaCCM Mwanza tu,
imekusudiwa anunuliwe gari jipya kubwa la kisasa na CCM taifa yenye thamani isiyopungua milioni mia6...
kwani kuna ubaya wowote ile pesa alichangiwa akaitumia kwaajili ya mambo mengine binafsi na ya kifamilia?🐒