Je, hiki kilichofanywa na Klabu ya Pyramids ya Misri dhidi ya Klabu ya JKU ya Zanzibar siyo Dharau kwa Wazanzibari na Watanzania kwa Ujumla?

Wafanye yanga tu wakifanya pyramid haahh!
 
Kwani lazima kama uwezo wa kifedha tatizo?
 
Kwa jku hii ni heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Wale wanywa urojo labda wangeletewa mashindano ya kuvaa misuli na kucheza taarabu mpira umesha washinda wangetuliza futa kwao tuu
 
Wazanzibar kulipiwa kila kitu ni jambo la kawaida sana. Kuwa Mzanzibari shurti ujue na ukubali kulipiwa
 
Wanachojua ni kuwazuia wapinzani tu kwao kuisapoti timu ni uharamu.
 
Tafuta hela hakuna huruma kwa Maskini.na umaskini Sio sifa ya kujivunia.
Una uhakika ulichokiandika hapa kinahusiana na Hoja yangu ya Msingi ambayo wanaokuzidi Akili hapa wameielewa?
 
Bodi ya utalii ya Zanzibar isikubali, walipe hizo pesa ili kutangaza utalii
 
Ivi huko nako kuna mpiraa kumbeee

Aaaaa

Tusanunanee aseee kumbee kuna timu inaitwa JKU

Mimi nikajua Kimmkazii maan nimewaona wale machawa papa huko na Mkwe yuko.hukoo
 
Yaani tokea niuanzishe huu Uzi ni Wewe pekee ambaye mpaka sasa umeuelewa huu Uzi na umeuchangia kwa Upeo mkubwa mno Kimantiki kuliko Wengineo ambao naona wamechangia Pumba tupu. Heko sana Mkuu.
Sasa genta si ndio vizuri watu watengeneze vibunda..maana logically hawawezi kumtoa piramid
 
Mbona hata Vital O ya burundi mechi zao zote 2 na yanga zinachezwa dar es salaam
GSM keshafanya yake halafu wakatutengenezea sinema la msemaji wa Vital'O.
Yanga umafia wao upo kiwango cha ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…