Je hiki kinaashilia nini kwa nguruwe?

Je hiki kinaashilia nini kwa nguruwe?

Ackhery

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2021
Posts
293
Reaction score
299
Habar natumaini mu wazima
Nguruwe wangu anatoa ute mweupe sehemu yake ya Uke
Kiumri ana miezi 8.
Naomba kujua hiki kinaashiria nini?

NB:hajawahi kupandwa wala kubeba mimba
IMG_20220528_095413.jpg
 
Ukiona discharge inatoka nyeupe ujue basi hakuna shida (hata binadamu wanawake hutoa discharge), I googled it wanasema nguruwe akipata discharge mda mwingine anakula sana vyakula venye calcium na phosphorus nyingi. Pengine inaweza kuwa yeast infection. .

Ila nimepigia daktari wa mifugo sasa wakati natype hivi kanijibu kwa miezi nane nguruwe wako yupo kwenye heat, mtafutie dume. .
 
Ahsante sana
 
Habar natumaini mu wazima
Nguruwe wangu anatoa ute mweupe sehemu yake ya Uke
Kiumri ana miezi 8.
Naomba kujua hiki kinaashiria nini?

NB:hajawahi kupandwa wala kubeba mimbaView attachment 2241932
Tafuta dume kama uke wake umevimba na umekuwa mwekundu.Kama uko Dar na una dume nijulishe nataka kupandisha nguruwe wangu
 
Back
Top Bottom