kirusi cha ukimwi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 799
- 646
Habari yenu wana jamii forum nina dada yangu amenunua kipodozi hiki na hajui kama ni salama au lah na je kinaweza kikuwa na viambata hatati ?
ntakuwa mwenye shukran kwa kijuzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga ingredients mfamasia nikusaidieHabari yenu wana jamii forum nina dada yangu amenunua kipodozi hiki na hajui kama ni salama au lah na je kinaweza kikuwa na viambata hatati ?View attachment 734285 ntakuwa mwenye shukran kwa kijuzwa
VERI TRUUUngepiga picha upande wa ingredients ingesaidia sana
Ni wa kikePia huyo aliyenunua ni wa kike au wa kiume? Asante
Wenzetu kabla ya kutumia vipodozi wanamconsult doctor wa ngozi. Sio kila kipodozi anachopaka mwingine mwingine kitamfaa. Ngozi zetu zinatofautiana. Unaweza nunua kipodozi cha mtu mwenye ngozi kavu kumbe uso wako wa mafuta ukipaka ndo yanatukuta hayo ya najionea makubwa.Nje ya mada: Kuna siku nilikutana na dada mmoja hivi tunafahamiana, usoni alikuwa ana mapele makubwa makubwa, nikamuuliza kulikoni? akasema eti alikuwa Dar es Salaam, akiwa kwenye duka la vipodozi akaja Wema Sepetu akanunua hicho kipodozi, basi hapo hapo na yeye akaona hicho ndio chenyewe (kwa kuwa tu kamuona Wema Sepatu kanunua). Alivyoanza kutumia ndio matokeo yake akaota hayo mapele manene manene.
Ni kweli unavyosema Mzigua90. Yaani nilimshangaa yule dada, mwanzoni nilidhani anatania kumbe ni kweli. hahahahahahahaWenzetu kabla ya kutumia vipodozi wanamconsult doctor wa ngozi. Sio kila kipodozi anachopaka mwingine mwingine kitamfaa. Ngozi zetu zinatofautiana. Unaweza nunua kipodozi cha mtu mwenye ngozi kavu kumbe uso wako wa mafuta ukipaka ndo yanatukuta hayo ya najionea makubwa.
Hiki ni kibaya. Sio hiko tu, vipo vingi sana na madhara yake pia yanapatikana katika kitabu SURA NZURI NGOZI NYORORO. Kwa yeyote anayependa kuna muongozo kamili, free copy (soft copy), ya orodha ya vipodozi visivyo salama na madhara yake A-Z. Ni BURE KABISA, omba sasa na utatumiwa kwa njia ya e-mail. Tuma meseji kwenda namba 0719326693 ili kupata muongozo kamili kwa njia ya email.Habari yenu wana jamii forum nina dada yangu amenunua kipodozi hiki na hajui kama ni salama au lah na je kinaweza kikuwa na viambata hatati ?View attachment 734285 ntakuwa mwenye shukran kwa kijuzwa