Ndugu yangu huwa unafatilia habari kweli?
Ndio. Nafuatilia habari.
Nakushauri nenda hata BBC uka search hao ISIS wametokea wapi? silaha wamepata wapi? Na watu pia.
ISIS wamebranch from Al Qaeda na kuota mizizi in Iraq and Syria with the objective of creating a caliphate in ME.
On BBC, hakuna mahali BBC wamesema ISIS imetengenezwa na CIA au MI6 as most of you claim. If you have a link, kindly put it up.
Secondly, like all terrorist cells, hazianzi operations zake wazi na recruitment wazi. Pia in a place like Syria and Iraq where the conflict has turned into a sectarian one, recruitment ya members ni rahisi vile vile upatikanaji wa silaha. Sheikh akitangaza jihad dhidi ya washia hakosi vijana chini ya 100 tayari kujilipua. Tukisema religion ni upuuzi tunaonekana mashetani.
Kukuelewesha vizuri, kwa Syria ni rahisi ku-recruit Sunnis na kuwaambia wanapigana against Allawites and Shia. Kwa Iraq hivyo hivyo. Therefore, an explosion of ISIS membership is not suprising. And there is also a possibility that ISIS receives financial assistance from Sunnis in the gulf, it won't be surprising.
litendee haki jina lako. Alafu kama ni mfatiliaji wa hizi mambo sio ngumu kung'amua hoja niliyoleta.
Umeleta conspiracy theory iliyojaa hisia zaidi ya facts. Unasema ISIS wametokea Libya, this is crazy. Libya bado kunawaka moto na waasi wanapigana, who between them has the time, money and energy to go fight another war in Syria and Iraq?
Obama cannot sit in his oval office while his citizen is beheaded. He is expected to do something.
Unajua dunia nzima inatambua marekani anaipiga ISIS, kupitia hili anaweza kupiga sehemu na miundo mbinu muhimu za kivita za Assad. Anamfanya awe weak zaidi. Pia anaweza penyeza watu wake maalum achilia mbali kuwasupport waasi. Kama hufatilii haya mambo hutonielewa ndugu yangu
Unaweza taja ni miundo mbinu ipi ipo Syria at the moment inayoweza kumsaidia Assad kupigana?
Pia ukishataja hiyo miundo mbinu, unaweza taja ni maeneo gani US imepiga mabomu in Syria na kumuharibia miundo mbinu ya kivita ya Assad? Au ni hisia zako tu na kuongea mambo juu juu with no shred of proof.
Ukiongelea Syria usiseme juu juu tu "kusaidia waasi". Syria waasi wamegawanyika katika factions nyingi. Mfano malengo ya FSA na ISIS ni tofauti japokuwa wote ni waasi. Kwa hiyo unaposema US anaweza kusaidia waasi, do not be vague, sema anasaidia waasi wapi ili usipotoshe.
Obama anasema hana strategy na kuonekana kituko na mtu anaanzisha thread na kusema Obama anampiga ISIS kumshambulia Assad, not knowing "not having a strategy" is saving face for indirectly helping Assad by fighting ISIS.
These are our political analysts. Smh