figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
hapana.hukunisoma vizuri.mimi napenda sana.sina chuki na mtu.tatizo lenu mtu akisema kupenda mawazo yote kwnye ngono.mkuu mimi sipo kihivyo unavyofikilia.ili nikutake kimapenzi kuna vigezo vyangu muhimu si kila msichana anafaa.miafiga kweli leo hii wewe ndio unataka kuwa na msichana mmoja wakati ulishatuambia wewe ni wa wengi?
au nakuchanganya mkuu, ni dalili nzuri, all the best utapata tu wa kukukubalia unavotaka
hakuna uongo nilosema.nilichosema ni wanaume wawe na roho ya huruma kwa wapenzi wao.kama nimedanganya niumbue hapahapa.mkuu jaribu kukumbuka vizuri.miaMwambie huyo. Ukiwa mwongo kumbuka jana ulisema uongo gani.
kwanini wajibu hivyo?Unatongoza the wrong gals... alafu woote wa aina moja (for it seems ndio wanaokuvutia...)
Wasichana wa siku izi wanafanya maamuzi kwa kuongozwa na matumbo, facebook, tamthilia na tamaduni za wazungu.hadi sasa hivi hawa wasichana wa kileo sijawaelewa lengo gani.mimi napenda niwe na mwanamke mmoja mwaminifu.lakini asilimia kubwa ambao nimewatongoza hawataki kuwa kwenye uhusiano.wenyewe wanasema"nipo tayari kukupa chochote unachotaka lakini siyo kuwa your girlfriend.kwanini?eti ntambana!!
yaani sipati picha ya dhamila yao.je ndo usasa huo?.mia
kweli bongo-daresalama nilimwona binti mwenyewe she looked soo innocent tulikuwa na mpango wa kumtafutia kazi akisha hama,kakimbia na laki 6 ya jamaa hahaha!uporoto mjini hapa,mpe pole huyo rafiki yako
kodi ya nyumba ya miezi sita,mom hebu rudia slowly utaelewa picha nzima.uporoto,hiyo hela ya miezi 6 unamaanisha ulikuwa ujira wa ngono wa miezi sita ama ilikuwa kodi ya nyumba ya miezi 6. ama alikuwa kampa masurufu ya likizo? tatizo lenu siku hizi mtu anataka kuanzisha mahusiano kwa kutanguliza pesa. COMING TO AMERICA is still one of my fav movies,let pple lov u for who u ar and nt what u ar!