Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,321
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbna kichwa cha habari kina sema Ruby alafu.. Content inasema Jide? Alaf mbna sijaona kijembe hapo!
HuendaNi kweli umeshindwa kushabihisha hiyo tweet na clouds, Ruge na jide au ni makusudi tu
Huenda
Huyu tangu aache kukojozwa anaongea pumba tuJide tangu amchumbie yule mnaija koko simuelewi anachofanya, ni bora arudi kwa mkojozaji
Ooh huenda jide alimaanisha hivyo au lah! Lkn nafsi ya mtu haisemewi... Zaid kila mmoja atakuja na tafsir zake...Ruby aliwazingua clouds miez kadhaa iliyopita akisema ni wanyonyaji ila jana kaomba msamaha,
Jide aliwazingua pia clouds kitambo na hajawahi kuomba msamaha sasa correlate na hiyo tweet uone inakuwaje
Jide kama wewe komando kweli olewa Na kaka yetu Deogratius Kisandu au jiunge Na kanisa la komando mwenzako Nabii Tito
Kwa waliolewa ishu ya Jide na Clouds na yalitotokea kati ya Clouds na Ruby watakuwa wameelewaMbna kichwa cha habari kina sema Ruby alafu.. Content inasema Jide? Alaf mbna sijaona kijembe hapo!
Ndo maana anaitwa Commando. Hataki kuwapgia watu magotiMbona jide mwenyew kimya!! anakufa kijerumani au?