Je hili la kibu na Simba ndiyo maana ya ubaya uboya?

Je hili la kibu na Simba ndiyo maana ya ubaya uboya?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kibu kala pesa kawakimbia makolo ....now anakula pesa za mbu mbu mbu huku roho yake akitamani kuwa mwananchi .....ni sawa na demu unampenda to the maximum na unauza kuwanja Cha urithi unampa pesa zote at the end ....ana kutoroka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]

Taarifa ya Wekundu hao wa Msimbazi imebainisha kuwa klabu hiyo ilimuongezea Kibu mkataba wa miaka miwili zaidi utakaoisha, Juni 2026 na kumlipa stahiki zake zote za kimkataba mchezaji huyoambaye alifunga goli moja tu msimu uliopita amekuwa akitoa sababu kadha wa kadha zinazomfanya kushindwa kuripoti kambini.

Kutokana na utovu huo wa kinidhamu klabu hiyo imesema itamchukulia hatua stahiki za kinidhamu na “umma utapewa taarifa”

#KitengeSports
1721794998144.jpg
 
Back
Top Bottom