Je, hili limewahi kukutokea??

Aisee kumbe kuna watu Tanganyika hii bado wanatapeliwa kizembe hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 2008 nilipata rafiki friend finder Mexico anaitwa Sergio kwenye kuwasiliana akaniambia amenitumia mzgo umepitia Senegal so niwasiliane na Huyo wa Senegal nkapewa namba!

Nkamuambia rafiki yangu anaitwa Delmar akaniambia usithubutu hao wezi!basi jioni nkapiga nkamuambia yule msenegali kua Sina hicho kiasi walinambia ntoe kama el38 kam sikosei hv... Ikawa mwisho wa mawasiliano

Yaani si Jana wala juzi huu utapeli upoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bas rafiki yangu yeye ni juzi tu ndo alitaka kuingia mkenge
 
Ata Mimi kunadem Alijitaid kunitapeli lakini alishindwa alijifanya mwanafunz anatokea England, amekuja Guinea kwaajir ya research maswala ya wanyama , nikamtongoza akubari fresh , kimbembe kikaanzia nilipo mwambia aje Tz anakuja lakini nimtumie dollars 400, ili alipie sijui visa, nauli, Nilicho gundua ni msanii wa bongo kwenye kuandika English anaandika vibaya mno ajui kuandika wakati uliopita , wakati ujao , wakati timilifu yan kiingereza chake nikajua uyu ni mswahili mwenzangu nilivyo mwambia sina ela yeye aje nitamludishia akishafika , akunijibu nika blockiwa fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaelekea utapeli unalipa eeh, ngoja na mie nianze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…