Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio nabii ila natabiri hii siledi wahusika wataikwepaView attachment 2230908
Nazani maelezo yana jitosheleza.
Yaah ni ndoto yao kubwa..sema ndoto nyingi haziwagi reality.View attachment 2230908
Nazani maelezo yana jitosheleza.
Mkuu, mbona unaulizia makofi polisi?!!View attachment 2230908
Nazani maelezo yana jitosheleza.
😀😀Mimi sio nabii ila natabiri hii siledi wahusika wataikwepa
Wahusika hawataki kucomment.Ngoja tuwe wasomaji wa comments.
Uzuri hili limezungumzwa na mwanamke mwenzao.Yaah ni ndoto yao kubwa..sema ndoto nyingi haziwagi reality.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu alicho kiandika,tuachane na suruali yake.Huyo demu ni kahaba tu sema alikuwa akichangamsha genge.
Hakuna mwanamke anayevaa suruali iliyochanwa mapajani sio kahaba.
Never
Mitandaoni watu huandika maudhui yoyote ilimradi tu wapate wafuasi wengi wapate kufanya biashara zao.Vipi kuhusu alicho kiandika,tuachane na suruali yake.
Sometimes hata saa mbovu huwaga inapatia majira, je kwa hiko alicho kizungumza kina ukweli wowote?Mitandaoni watu huandika maudhui yoyote ilimradi tu wapate wafuasi wengi wapate kufanya biashara zao.
Hii jumbe ilianza kupostiwa na Mugabe Quates miaka 4-5 nyuma, then comedian wa cheka tu wakawa wanaitumia na sasa wasawahili wengi huandika .
Ila huyo dada ni muuzaji wa mwili wako yaani kahaba wa kimtandao.
Nenda Instagram utamkuta kamtongoze ila pesa kwanza kabla ya yote
Ukiangalia picha ya huyo mwanamke utajua kwann kasema hivyo. Hao ni wale walio shindikana..View attachment 2230908
Nazani maelezo yana jitosheleza.
Wewe jua tu kwamba hakuna mwanamke anayevaa suruali iliyochanwa mapajani akapiga picha na kuirusha mtandaoni sio kahaba.Sometimes hata saa mbovu huwaga inapatia majira, je kwa hiko alicho kizungumza kina ukweli wowote?
Huyo dada unamwita kahaba, ila mimi maisha yake binafsi na yajua ni dalali mkubwa tu wa viwanja na ameolewa mda na mme wake Ochushegy wana miaka zaidi ya saba.
Mtizamo wako ila hayupo hivyo unavyozani namjua vizuri.Wewe jua tu kwamba hakuna mwanamke anayevaa suruali iliyochanwa mapajani akapiga picha na kuirusha mtandaoni sio kahaba.
Suala la kuolewa au kufanya udalali ni jambo jingine.