Je hili linawezekana Ardhi?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Nina plot somewhere na ipo tittled plot no XXX, Ninalouliza ni kwamba je inawezekana kugawa eneo hilo likawa na hati 2, yaani xxx1 na xxx 2 nafanya hivi ili niweze kuuza plot1 ambayo itakuwa tittled ili ni weze kujikimu na na ugumu huu wa maisha welcomes u all
 
Wasiliana na Kamishna wa Ardhi Mkuu, sababu zikiridhisha inawezekana
 
wataangalia na ukubwa wa kiwanja. cha msingi nenda ardhi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…