It is the right thing to do, na ni heshima na zaid natamani tu iwe hivo
Kwa kweli hata mi na wish ningekuaga sijajichanganya, ila I guess its late, n Asante kwa mchangoMahusiano kabla ya sex ulitakiwa uzingatie kabla ya kuanza kujichanganya.
Kuhusu huyo mchumba wala usishangae, siku hizi wengine wanataka kuhakikisha kwamba mpaka mimba unaweza kubeba kabla ya kufanya chochote. . . usanii umekua mwingi sana!
It is the right thing to do, na ni heshima na zaid natamani tu iwe hivo
I am ashamed to say I'm not, ila kuna time I chose to start afresh na ndo nikaamua kua nipate Mtu aliye tayari kusubiri
It is the right thing to do, na ni heshima na zaid natamani tu iwe hivo
Anaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia so lazima atest kama ni bwawa au still picha kitu mnato
Kwa nini unajionea aibu kuwa huko "virgin"? Kumbuka kuwa huo ni mwili wako na una haki ya kufanya unavyotaka. Je huyo anayetaka kukuoa naelewa kuwa huko virgin?
Ikiwa haelewi mweleze alielewe hilo, kwani anaweza kufikiria kukataa kwako kufanya naye ni kwa sababu hiyo. Sasa siku mnaamua kufunga ndoa akigundua huko virgin, unafikiria hiyo ndoa itaishia wapi?
Sikushauri utoe tu kwa sababu untaka kuolewa, wala huyo jamaa asitake tu kwa sababu kaahidi kukuoa. Ndoa kwa sasa ni hatua ya mwisho katika mahusiano, bora uhakikishe/mhakikishe kuwa kweli mnapendana.
Unaweza kuolewa siku chache ndoa ikavunjika ikiwa hakuna mapenzi, na mnaweza kuishi daima milele bila ya ndoa ikiwa mnapendana.
Kila la heri.
I am ashamed to say I'm not, ila kuna time I chose to start afresh na ndo nikaamua kua nipate Mtu aliye tayari kusubiri