Je hili linawezekana?

kaka kuliwa ushaliwa sana,mpe jamaa tu kama ulivyowapa wengine ila fanya kweli kijana aweweseke then atangaze ndoa
 
olewa kwa sababu una sababu mathubuti ya kuolewa sio desparation

hata huyo anaweza akakamua na kuondoka.
Usimlazimishe mtu akuoe hadi wote muwe mmeridhiana kuoana
Thank u sana
 
Inawezekana kabaisa,tupo tusio na tamaa sana ya kuomba mizigo,sema wewe tu hujaamua kututafuta so ntafute ili uamini
Haha mnasema hivi mkiwa mnawinda Mtu akikubali tu request ya kwanza ni hiyo
 
Asante, nimekupata, ubarikiwe
 
utaanzaje safari bila kujua uzima wa gari lamza ugonge tairi kwanza upate uhakika ndo safari ianze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…