kwa mtazamo wangu ninaona kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari ingeongezewa somo la ufundi (kwa vitendo). Sababu ya msingi inayofanya nifikiri juu ya hili ni;
- wale wanaoshindwa kuvuka kutoka ngazi moja kwenda nyingine wanajikuta wamesoma kukariri ila inkuwa vigumu sana kuifanyia kazi elimu waliyopata.
mnasemaje wana JF?