Je, Hili nalo lina Ukweli....?


well said babu DC. sijui siku hizi kwa nini vijana wanakuwa wanamezwa na mambo yasiyo na matunda katika maisha yaani wanakata tamaa mapema hawajiamini na wala hawaoni kama wanaweza kuishi.

yaani kama umeitetea ndoa yako kwa gharama ya busara na hekima yako pamoja na upendo na sala lakini haija work out what else do you do? unakaa pembeni kuepusha msongamano and no one will ask why?
 

Aksante Babu DC. Unaona hapa pa kutimiza wajibu ni pa muhimu. Wengi tunaelewa na kusikia malalamiko mengi ya wapenzi kutotimiza wajibu wao. Sasa wewe ujitoe tu ilhali humwoni 'mpenzi' akiwajibika impasavyo, si mezani si kitandani?? Afu bado twaambiwa tusifanye analysis ya how much we are investing??

Ah mie ninachoka kabisa aisee!
 
MwanajamiiOne mie naona kujiuliza sio vibaya haswa kama unaona umejitoa afu mwenzio wala haonyeshi kurespond.....afu hii sidhani kama ina uchaguzi naona itakujia automatiki kuwa heee mbona kama mwenzangu hatuko pamoja.....inawezekana ndio tabia yake labda kama alivyosema Kongosho kuwa akishasema nakupenda kipindi cha kukutongoza hatakaa arudie tena hilo neno.....weweunabaki kila siku kumwambia i love you darling mwenzio kimya.....hapa lazima ujiulize aisee haijalishi kama unahatarisha mahusiano au laah!
 
Last edited by a moderator:
mmh, sasa kwenye mahusiano mapya napo mtu anakuwa kabadilika nini wakati ndo kwanza mnaanza?

Mie hiki hukiita kihoro cha mapenzi, kwa ufupi hakina maana sana huvuruga.

Afu kama vile umeleta hii mada muda muafaka kweli, basi tu.

Hahahaha Da Kongosho nsamehe kama nimekugusa bwana mie leo akili yangu hata haipo basi tu nimejiperuzia peruzia makitu haya niiliwaze akili yangu maana si wa kufa wala kuishi nipo nipo tu kama Zombie!
 
Last edited by a moderator:
sweetlady, aksante kwa kunisaidia kuifafanua vema thread hii. Hiki ndicho ninachojaribu kukisema hapa kuwa hao walioandika hayo makitu eti kujiuliza ndio kunaleta problems siwaelewi kwa sababu panapo mabadiliko katu haiepukiki.
Aksante Dada wengine sie kujieleza sifuri mwe!
 
Last edited by a moderator:


Hahahahahahahahah,

Tatizo dada yangu MwanajamiiOne mnatumia microscope kumwangalia inzi...Kwa nini usimwangalie kwa macho yako tu hata bila miwani ya kukuzia??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
............ Unfortunately yes I used to ingawa nowdays ninajitahidi ku'cheua' ila siwezijisifia kuwa nimefuzu itakikanavyo

sasa ma dearest this is the silent killer of yourself. unaua ujasiri wako, imani yako,afya yako na kila kitu kwa kuweka vitu moyoni. tena magonjwa unayatengenezea chumba na sebule nafsin mwako.
Jifunze ku pour out stuffs by trusting yourself na ka kuona kuwa no matter one has said or done to you but you are just MJ1 and you have your potentials ambazo wengine hawana. chukulia mtazamo wa mtu mwingine kama siyo wa mashiko sana juu yako kwani Mungu aliyekuumba alikusdia wewe uwe wewe and that has never changed and it won't untill you die . tena jivune na kauona kuwa potentials ulizo nazo siku ukifa utaenda nazo watabaki nazo chache wale ambao uliwakusudia wawe nazo
 
Hahahahahahahahah,

Tatizo dada yangu MwanajamiiOne mnatumia microscope kumwangalia inzi...Kwa nini usimwangalie kwa macho yako tu hata bila miwani ya kukuzia??

Babu DC!!

Nakiri kwa mara ya kwanza JF akili yangu imeshindwa kuelewa unachomaanisha hapa Babu yangu. Tafadhali nisaidie!

Jamani namtafuta Soulmate!
 
Evaluation ni muhimu wajameni!
Kaizer hebu sema kwa sauti wakusikie.!

Ingawa wao wanasema kuwa mwanzo wa evaluation ndo mwanzo wa matatizo mie nasema mwanzo wa evaluation ndio mwanzo wa ufumbuzi wa matatizo aisee.
 
Last edited by a moderator:

aisee nakuonea huruma sana na sijui nikusaidiaje japo siyo lugh nzuri sana kuitumia. jiamini my dia, hivi huyu mtu hanajema hata moja? tatizo lako unategemea kuona mabaya tu kutoka kwake na maisha jinsi yalivyo yatakuonyesha mabaya tu ma dia. hebu badilisha life style yako, ondoa lile daraja la mume na mke jenga la rafiki na msiri ambaye utakuwa tayari kuongea naye pengine yaweza kusaidia.
 
Kaizer hebu sema kwa sauti wakusikie.!

Ingawa wao wanasema kuwa mwanzo wa evaluation ndo mwanzo wa matatizo mie nasema mwanzo wa evaluation ndio mwanzo wa ufumbuzi wa matatizo aisee.
Kabisa! Mahusiano yasiyo na reflection ni mfu! Yaani unaenda tu kama kipofu jamani? Of course sio kupima kwen mzani kama mchele!
 
Last edited by a moderator:

Aksante sana gfsonwin, my man is helping me in that ndio maana ninasema naanza kuelewa somo taratibu. But I used to bank them aisee yaani ile ego ya... si ni mtu mzima anaelewa anachokifanya kinaniumiza, ameamua kufanya makusudi yaani nilikuwa siulizi hadi vikinijaa naanza kupiga mahesabu ya analyses zangu kisha booom, mwenzangu naona siwezi, shika zako nami zangu!
 
Hapana godsonwin nadhani kuna sehemu hujanielewa pengine nimekumislead mydia. KWa hii thread, am trying to be objective as I can. Chochote ninachoandika hapa HAKIHUSIANI na maisha yangu hata kidogo. Am a happy bird now with a lot of freedom of expression and love.

Hapa ninajaribu kuielewa hii paragraph nloisoma kwenye hiyo source.
Hebu msome Kaizer pengine anaeleweka vema kuliko mie maana we are sailing on the same boat.
 

Aksante pia MwanajamiiOne .....wengine mioyo yetu haiwezi kuvumilia kutoa tu bila kupokea japo kidogo.....kujiuliza ni lazima kwakweli......haswa kwenye hili suala la mapenzi lol
 
Last edited by a moderator:


but if now he is coming back, wajiumiza kwa kitu gani tena dearest? mbaya ni kama hajajua but kama kajua itmeans atabadilika as days go. usitegemee abrupt change has kwa binadamu ni ngumu sana unless awe ni mtu wa kupenda kupretend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…