Je, Hili nalo lina Ukweli....?


Trust nothing suspect everything my brother ooo! Kuna mdada siku moja alitamani ardhi ipasuke aingie na asirudi milele! Alipokea sms toka kwa mchumba wake inasema ivi 'Mwanangu uyu dem nimemchoka ile mbaya, natamani kumuacha ila dah kila siku ananitex kuwa ananipenda sana ingawa mara kibao namchunia ye haachi tu kunitext na kunicall'. Kumbe jamaa alikuwa anachat na rafiki yake bahati mbaya si akaituma kwenye namba ya mdada! WATCH OUT SANA MEN!!
 
Duuuuuuu!......Unaona sasa?......aisee watu na wachunguzane tu na ukiona unatext sana mwenzio harespond jua ndio kama hivyo kwenye red lol!
 

Sosad aisee ila mie huwaga sitaki kufikiria au kuamini kuwa mpenzi wangu yu anisema kwa marafiki zake. .... siamini kama si mstaarabu kiasi hicho kwani ninaamini kuwa kama kweli ananipenda (na ninaamini hivyo) atanilinda, atanitetea na kuniprotect na maumivu yoyote yawe ya hisia, kiroho au kimwili. Sitaki kuamini vinginevyo ACHA NIFE KWA PRESHA SIKU NIKILIONA KWA MACHO aisee. Inauma!
 
Naona hiyo wanaitumia sana wanaume kuliko sisi, wengi wanaogopa kutupenda back au kuonesha mapenzi kisa; tutawapanda kichwani.

Mapenzi ya kutegeana yanaudhi!!!!!!

Umeona mwaya eeeeeeeheeee!!!!!!!!!!! Mapenzi ya kutegemeana yanaudhi vibaya mno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naona hiyo wanaitumia sana wanaume kuliko sisi, wengi wanaogopa kutupenda back au kuonesha mapenzi kisa; tutawapanda kichwani. Mapenzi ya kutegeana yanaudhi!!!!!!
Umeona mwaya eeeeeeeheeee!!!!!!!!!!! Mapenzi ya kutegeana yanaudhi vibaya mno!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Yaani yanakuwa kama hayapo vile, kwa kifupi yanaitwa mapenzi ya kitumwa, unakuwa upo, upo tu, hujui kama uliye naye anakupenda au la! Raha ya mapenzi kupendana bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…