road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania lililosheheni wabunge 300+ limemshitua au mkumshangaza Mtanzania yeyote mwenye mapenzi mema na Taifa letu! Bunge letu limesheheni wabunge kama ifuatavyo:
Kilichonistua zaidi ni kuona wawakilishi hawa 300+ kukosa maswali ya kumuuliza masimamizi mkuu wa shughuli za serikali ya Waziri mkuu ,ili ataoe hata kauli kwa masuala mengi ambayo yanaleta kesho kwa watanzania! Najiuliza inamaana wabunge kweli hawaoni kero hizo zinazo wasibu wananchi au ni uoga au ni kulipa fadhila kwa serikali kutokana na namna wabunge hao walivyopata hizo nafasi?
Inawezekana vipi washindwe kuuliza swali serikali? Hivi leo mafuta ya kila lita ni sh 5000 mpaka 6000/ yani hata hili hawalioni!?
Ujambazi unashika kasi hilo hawalioni kuibana serikali ichukue hatua kali?
Je, Serikali ilitoa nafasi kwa vijana 12000+ wajiandikishe veta lakini walitokeza zaidi ya 30000+ je nini msimamo wa serikali? Kuhusu kundi hilo lilolozidi? Yani wawakilishi 300+ hawakuliona hilo!?? Angalau waliojiandikisha wapate mwangaza?
Mvua zimenyesha,kuna mikoa miundo mbinu haifai kabisa kwa kusombwa na maji ,kwann hata hilo wasiulize ili hata serikali itoe maelekezo kwa halmashauri husika kushughulikia?
Je, Hili ndilo bunge Mwendazake alitaka liwe?
- Waliochanguliwa na wananch!
- Viti maalum.
- Pia watunge waalikwa kutoka CHADEMA yaani Mdee & company