haaaaa mie mwenyewe nimejikuta nacheka.......,hahahaaa!! nimejikuta nikicheka ila nahisi sikupaswa kucheka, nafikiri kuna story nzito nyuma ya hilo.
Mkuu Ngabu ina maana wewe unaweza kutoa product kali kuliko alizotoa MUNGU au...nimeuliza tu, sina mafungamano na upande wowote.Sidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.
AiseeeeSidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.
Somehow kama 75% hivi ni ukweli....ila siri nyingi za Baba atafahamu mtoto wa kiume hali kadhalika siri nyingi za Mama atazijua mtoto wa kike.Habari zenu wana JF?
Kuna usemi kuwa "wanawake hupenda kuolewa na baba zao" na "wanaume hupenda kuoa mama zao"
Dont get it wrong, ila ni kuwa binti huwa karibu sana na baba yake hivyo kupelekea kupenda kuwa na mume kama baba yake, halikadhalika kijana kuwa karibu na mama yake hupelekea atamani kuwa na mke kama mama yake (kwa sifa).
Sasa wapendwa wana JF naomba niwaulize, je kwa wanaume wewe ungetamani mke mwenye sifa za mama yako na kwa wanawake wenzangu, je ungetamani mume mwenye sifa kama za baba yako?
Niwatakie jioni njema.
Wanaume wengi huoa wanawake wanaofanana taswira na dada zao
isee ww mkuu mm ni mwathirika wa hii kituWanaume wengi huoa wanawake wanaofanana taswira na dada zao
binafsi namkubali sana mamaangu. ila kuhusu mke nina vigezo vyanguHabari zenu wana JF?