Je hili vazi la Mh Kawawa lilitoka wapi?

Alijifanya Nkwame Nkuruma
Umepatia kiasi mkuu.
Si kwamba Mh Kawawa alijifanya, bali miaka kabla na baada ya uhuru 1961 vazi la kuonyesha Uafrika wako proudly ni vazi la ki West Afica hasa Ghana.
Ikumbukwe kuwa Ghana ilipata uhuru tarehe 6 March , 1957, maeneo ya Gold Coast, Ashanti, majimbo ya Kaskazini na jimbo la Togoland yaliungana , na kupewa uhuru na waingereza.
Vazi alilovaa Kawawa ndiyo lilionyesha mwafrika huru barani kote Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…